There is just something about girooouddddd qhen it comes to the national team....unstoppableGirouddddddddd
SUDAN hiyo.. wazee walikimbia vita.Hizi mtu nyeusi za australia zinatoka wap?
Kuna kitu naanza kugundua [emoji23][emoji23]Hizi mtu nyeusi za australia zinatoka wap?
Umerudi naona france wanafanya yao....mama wa kambo kaleta mdogo wake ni balaaa full mitego ila kanikuta akili sasa ipo world cup habari ya mbussusu sinamzabzab naona una like kimya kimya umeme umerudi hapo home kwa maza wa kambo nini?
Jamaa tinted aiseeSUDAN hiyo.. wazee walikimbia vita.
Aliyeingi ni hatari sana piaJaman dembele anatoka tena?? 😭
Wako inspired by Thierry Henry maana ndiye alikuwa mkimbiaji hatari sana enzi zake.Hawa wafaransa wanakulaga niniii mbona wana mbio na nguvu hivii
South sudan hao huoni walivyo blackHizi mtu nyeusi za australia zinatoka wap?
Kumbeee ila dembele ni mziki mwingine aseeAliyeingi ni hatari sana pia