Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Pamoja MkuuPa1 mzee bb. Ngj nipakue chap
Na ambavyo hii akili ingempa mjerumani 🤣🤣
Futiboli iache iitwe futiboli..Kila la kheri chama langu chuma cha mjerumani enendeni mkafanye kweli sisi watanganyika tuko nyuma yenu!View attachment 2425037
Nilisoma comment zake nikasema tu moyoni mpira Dk 90😀Huyu leo kapigwa double penetration hahahah maana simba majanga huko
Mm nina timu moja tuuUna team moja tu?
Huna kateam mchepuko?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jamani hapa balaaa kesho napo japan public holiday
Yan wepes hlf viko smart sana tactical na havitolewi wala kuyumbishwa kwny game plan yao hata uongoze ww na uchezee mpr.Wana mbio hatari
mikeka leo huko😎Na ambavyo hii akili ingempa mjerumani 🤣🤣