Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yaccine 4 life...mechi zote...be it wc or not inaonesha
 
Mm ndo nayotumia iko vizuri sema lugha changamoto...nachoipendea haina ads za kipuuzi pia mechi zote uhakika. Kuna apps hua zinachagua mechi na mechi
Aah me nilikuwa nayo yosine.. nadhan nipe picha yake inavyoonekana niiongeze kwenye list na yenyewe
 
Hii WC [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Saudi Arabia Alikuwa na Point 23 kwenye betting

Japan 16 kwenye Betting

Costa Rica 16 betting

Sijui tuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…