Jamaa wana mpira kama toyota yani shwaaa shwaa huyokweli.Na Japan ana kikosi kizuri kama unakumbuka World cup ya 2018.Walifika mbali sana
Huyu golikipa namkubali mpaka kesho, tangu nimuone kwenye WC ya 2014
tembelea duka lolote la kijapan kuna offer wanatanGAza😂Vipi kesho nasi wajapan tunapumzika?? [emoji2]
Japan kazi kazi... wale siyo mikate ya boflo Saudi... natania jamani team Saudia.Vipi kesho nasi wajapan tunapumzika?? [emoji2]
Discount 20% ukiagiza gari toka japan.tembelea duka lolote la kijapan kuna offer wanatanGAza[emoji23]
Greatest Of All Time leo hamna umeme kwenu
Wamewanyoosha leoNdio umerudi hapa yaani wanajua kututesa
Ila inakula MB sanatilfizyun yasin tv..... Ni HD kabisaView attachment 2425217
Hongo zinaleta mkosiTeam zinazopewa penalty zina gundu
Ninenunua mb 2368 nimebakiwa na 429 mb. Lákin mpk sasa nimangalia gemu mbili ila ya kwanza sikuangalia yote.Mkuu mbs zinaenda haswaa sio uongo kumaliza mechi yote natumia more than Gb 1 kama na mbs 100 au 200
Ninayotumia mm inalugha ya kiarabu,kifanransa,English,kihispania n.kMm ndo nayotumia iko vizuri sema lugha changamoto...nachoipendea haina ads za kipuuzi pia mechi zote uhakika. Kuna apps hua zinachagua mechi na mechi
Humalizi unawezaukapata kipindi kimoja.Kwa 1000 Tsh MB 490 nitatoboa kweli?
Mtandao gani huo?Kwa 1000 Tsh MB 490 nitatoboa kweli?
Mashoga yoteKosi leo kama walivyoziba midomo basi wamezibwa midomo na kina Samurai.View attachment 2425241