Niko makini kwenye kideo 🤸
Hii sikuangalia nilibanwa kazi. Ila nimeona Matokeo. Ninawasubiri Brasil wapelekewe moto na Sebia kesho.Umeona timu ya wajapan mjerumani anapelekewa motooooo
Ila wao yalikuwa kwa penalt.Ujeremani na ajentina walitangulia hivihivi
Mi naangalia kwa 720/1080pHakuna resolution ya kuchagua??? Uskute unaopt liHD mwanawane,mie mwsho 360p. Hizo 720p,1080p nazpita kama sizion,tena kuna mda naweka 240p kabsa[emoji1787] chezea mb ww
South americaBlue ya chesii au
Cha piliiiii
Sebia sio wabaya wale wana jamaa wao mmoja serje milinkovic savic hatari anacheza lazio ni mdeadly joooo!!!!Hii sikuangalia nilibanwa kazi. Ila nimeona Matokeo. Ninawasubiri Brasil wapelekewe moto na Sebia kesho.
Ila wao yalikuwa kwa penalt.
Loading yao unakunywa maji unamaliza glass ndo viwakeUmeme ulinikatili dk chache, umerudi km kawaida ya DSTV loading huchukua muda
Hawa ndo mabingwa sio team zinafungwa na saudiaSpain wako njema