Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Canada hachomoki leoAiseee huu mpira mbona una kasheshe sana?
Red for life..pole aisee unachoka ee au umeme kama kawa
Anacheza Munich huyo na akiwa huko huwa anakiwasha kwelikweli, ila kwa hii mechi sioni lolote.Kuna michezaji sijui inacheza timu gani
Kama huyu alokosa penarty hamna kabisa
Nina Imani na BelgiumCanada wanauwasha moto
Toby alder weireldMajina magumuuu mnoo rahisi hapo ni Corrasco na Hazard