Mimi ninasubiri kwa Hamu Brazil vs Serbia.1.SwitzerlandvsCameroon-Cameroo Over 0.5 Full time
2.Uruguay vs South Korea-FT under 2.5
3.Portugal vs Ghana-Portugal under 1.5
4.BrazilvsSerbia-over 3.5
Wengi wanampa Serbia 🇷🇸Mimi ninasubiri kwa Hamu Brazil vs Serbia.
Saa saba mchana na saa moja usikuYa saa ngap na ngap?
Asante tayari naangalia hapa mchawi TanescoSaa saba mchana na saa moja usiku
Huku Tanesco wametukatiliAsante tayari naangalia hapa mchawi.
Serbia mm ni moja kati ya team naiona ni dark horse na watasumbua nasbr niwaone wanidhibitishie ilo leo kua ni kati ya a force to be reckon.Wengi wanampa Serbia [emoji1212]
Thiago Silva na Marquinhos leo kazi wanayo. Serbia si wa mchezo mchezo. Ureno wanawajua vizuri. Sasa leo vitukuu wa wakoloni wareno wataonja kilichompata mkoloni wao.Mitrovic leo ataua.Mimi ninasubiri kwa Hamu Brazil vs Serbia.
Wasije wakakata tu hawaeleweki hawaHuku Tanesco wametukatili
Nenda kibanda umiza kama haupo job.Asante tayari naangalia hapa mchawi Tanesco
Siwezi mkuu wakikata nitasoma tu Hapahapa comments za wadauNenda kibanda umiza kama haupo job.
Bora wakate na huko tukose wote[emoji3]Wasije wakakata tu hawaeleweki hawa
Jana kdb alikuwa down 👎ila kama nape alivyokwisha sema ttz ni brand 😃Eti KDB akawa MOTM hawa FIFA hawako serious kabisa Bora hata angepewa golikipa.
Yaani sijui mkata umeme katusahau huku wanatusahau sana wakikata dk tano. Hakuna shida ya umemeBora wakate na huko tukose wote[emoji3]
Bora yenuYaani sijui mkata umeme katusahau huku wanatusahau sana wakikata dk tano. Hakuna shida ya umeme