Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Hapa inabidi Nisubiri game ya saa mojaYaani sijui mkata umeme katusahau huku wanatusahau sana wakikata dk tano. Hakuna shida ya umeme
Na atawafunga🤣🤣Striker Embolo anacheza dhidi ya taifa lake🤣
Yuko vizuri atawafungaNa atawafunga🤣🤣
Wale wa kubet mpe
Cameroon
Serbia
Uruguay
Na ureno
Mkuu bado mapema lakiniCameroon wabovu Sana angalia wanavyocheza.
Wanafika kwa wapinzaniiUswisi wako vizuri
Ngapi ngapi huko jamani...leo tanesco wamefanya yao huku kwetu🇨🇲 Cameroon XI:
Onana,
Fai,
Castelletto,
Nkoulou,
Tolo,
Zambo Anguissa,
Hongla,
Oum Gouet,
Mbeumo,
Choupo-Moting,
Toko Ekambi.
Hili ndo tatzoWamekosa [emoji1062] Bonge la chance.. kawa mchoyo Choupo alikua mwnyw kule
Kazngua sana asee chance Kama izo fungeni mtajutaHili ndo tatzo