Wanataka kuwa kama wenzao JapanKorea wameanza kwa presha kubwa
Ule upande wa kulia wa Uruguay ambao kuna Ceres na Godin wategemee sana heka heka na vipimo vya umr Ving kutoka kwa Son.Korea wameanza kwa presha kubwa
Hahahahaha sema Korea wepesi sana dadekiiiUle upande wa kulia wa Uruguay ambao kuna Ceres na Godin wategemee sana heka heka na vipimo vya umr Ving kutoka kwa Son.
Na vibe la washabiki uwanjani wako motoWanataka kuwa kama wenzao Japan
Yan Mkuu kama wajapan tu wanakimbia sio utan kwhy Uruguay vipimo vya umr vitakua Ving sanaHahahahaha sema Korea wepesi sana dadekiii
Alijiamini kama Etoo alivyokuwa anajiamini na tubeki twao tufupiYupo kule nyuma analia
TenaaaaKorea shikamoooo
Sio gaolTenaaaa
Wanakata upepo sio utanYan Mkuu kama wajapan tu wanakimbia sio utan kwhy Uruguay vipimo vya umr vitakua Ving sana
Waafrika wanajulikana tatizo lao ji sugu, kushindwa kufunga. Hata wacheze kwa ubora mkubwa kiasi gani...kufunga ni mbinde sana. So tusitegemee makubwa.BLACK STARS AT LEAST INA WACHEZAJ WAJANJA
KUDUS, PARTEY,INACK WILLIAM
HOPEFULLY WATAMFUNGA UYO URENO
Hlf ss Korea wanapenda sana miliki possession so Uruguay anabid yy ndo avizie.Wanakata upepo sio utan
[emoji23][emoji23] Ndo maana huo upande maana kuna wazee wote Ceres na Godin umr umeenda.. Ndo maana una muona Fede mda mwng wakishambuliwa yuko huko kucover hao wazee walau wakipitwa awepo.Godin ulimi nje