This is africa.....ghana anakufa nyingi iyo game
Tatizo hawa makocha hawaangalii wachezaji wanaocheza AfricaAngekuwepo Ikrah magic hapa angepeleka pressure sana golini kwa Ureno
Watasema wewe ni simbaAngekuwepo Ikrah magic hapa angepeleka pressure sana golini kwa Ureno
Sasa hapo kwenye kikosi cha ghana, ni nani anaeweza kwenda sawa na CR7 kwenye swala la kuruka?Ronaldo anaachwa anapiga free header, itatucost
Hamna aiseeSasa hapo kwenye kikosi cha ghana, ni nani anaeweza kwenda sawa na CR7 kwenye swala la kuruka?
Kwa mpira huu,
Ghana akikutana na South Korea anapigwa Kama ngoma[emoji28]
Maumivu ya Argentina kufungwa hayajawaisha tu mpaka leo?Rinaldo hakuna kitu pale, kilichompata Argentina na Ujerumani kinakuja kumpata Ureno
Ndiyoooo.....Na mm ndo naisubiria nadhani ni saa moja... halahala tusitandikwe tuu
Bado hajatangaza rasmi ila tayari kashastaafu.Hivi Gyan kastaafu soka ama?
Kweli kabisaGhana ishaondoka na kina Asamoh Gyan