[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui ndio makubaliano ya kikao chao?
Na bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila huu urukaji wa Ronaldo unanipa wasi wasi sana, jamaa anapaa sio kitoto nyie
KazeekaGhana ishaondoka na kina Asamoh Gyan
Ghana wana forward mzito balaa
Asantee MkuuGoli alilokosa Ronaldo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hapo kwenye kikosi cha ghana, ni nani anaeweza kwenda sawa na CR7 kwenye swala la kuruka?
Hivi Gyan kastaafu soka ama?
Wamekata uko? Wapi?Asantee Mkuu
Angalau umetuonyesha sisi tuliopo kigazi baada ya haya majangili kukata umeme
Wamepaki bus , ni swala la muda tu kabra hawajapanua.Ghana wanakaza sana leo,
Kikubwa leo anapeleka moto hadi ushindi upatikane