Mpr wanaocheza watafungwa 1 hlf watafunguka watapigwa vibaya sana.Ghana hawapeleki mpira mbele, wakipata ni chenga na kurudisha nyuma
Nani ambaye ni kijana na akafanya maajabu?Uzee haukwepeki leo hii ronaldo hayupo kwenye kupiga mipira ikiyokufa
Na ndo mchezaj wa Africa ambae ana magoli mengi kwenye kombe la dunia.Nampenda sana alitupambania Afrika sema haikuwa rizki
Hakuna level sawa hapo, nyinyi pakini tu bus.Mi naona kama wanaocheza ni level sawa ila wamepishana fitness tu
Muongo Huyo, It Was a Foul!Jamaan
Au nimekaa angle mbaya?
Em nihame na hili kochi [emoji38]
Huku waliuzima tangu Jana usiku ndio wamerudisha sahizi, mwendo wa mgao tu wanaboaWanajisikia raha sana hawa wapumbavu
NdiyoSijui ndio makubaliano ya kikao chao?