Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu anaeruka hivyo unamkaba vipi? Ni lazima ionekene kama free header[emoji1].
Ghana wapo vizuriHizi nguruwe leo zitaishia goal za kukataliwa tu
CR7 Akili inataka ila mwili unagoma kutoa ushirikiano na akili inavyotaka.Uzee haukwepeki leo hii ronaldo hayupo kwenye kupiga mipira ikiyokufa
Inaki Williams wa Athletic Bilbao au?Una mjua williams?
Ghana wanazuia goli wanajaa golini km woteGhana wamesha elekea Kibla wanasubiri kisu cha shingo tu.
Kushinda mechi?Ronaldo Akishinda Leo, Anakua Mchezaji Wa Kwanza kushinda Kwenye Makombe Ya Dunia Matano (5) Tofauti
Nani ambaye ni kijana na akafanya maajabu?
Messi?
Lile lile la penati nalo nilakulipigia mahesabu?
Waafrika tuna shida sana...Wao wana CANCELO, BERNADO SILVA, BRUNO, RONALDO, RUBEN DIAZ, JOAO FELIX, NEVES, DALOT, halafu wewe una Partey na unasema unashinda. Tuna akili kweli?Ghana tunashinda hii game
Suala la muda ila wasifungwe mwishoni inauma aseeRonaldo hapa anasubiri aweke tu record kufunga kila kombe la dunia aliloshiriki. Ila Ghana watakaa tu.
CR7 Akili inataka ila mwili unagoma kutoa ushirikiano na akili inavyotaka.
Niko team Ghana all the wayHivi katika hii mechi dada zetu mko na sisi kuwasupport Ghana? Mbona kama mko na Ronaldo sana! Tutazinguana asee
Uliona nani yuko na Ronaldo?Hivi katika hii mechi dada zetu mko na sisi kuwasupport Ghana? Mbona kama mko na Ronaldo sana! Tutazinguana asee
Team zote za Afrika zipo vizuri kwenye mabeki, shida ni viungo na umaliziaji.Defense line ya Ghana iko stable sana
Mimi sipo na Ghana wala Portugal. Mimi naangalia pira Biriani tu. Nagurahia soccer. No stress.Hivi katika hii mechi dada zetu mko na sisi kuwasupport Ghana? Mbona kama mko na Ronaldo sana! Tutazinguana asee