HatariiiMiksa anaongea na kiarabu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kenge sana huyu boyaHuyu mtangazaji w TBC ana mahaba mazito na CR7 lol mpk ameboa sio kwa sifa hizo
Penalty kajitupa kbs Yan karuka mbl na ndo nakmbka kama ile ya Spain 2018 ivo ivo Ali initiate contact na Nacho had akaruka akapewa tuta.Sure kajiangusha kabisaa, huyu refa mwenyewe mshenzi tu
Uongo huo, huo ni uongo bwanaAcheni chuki
Ronaldo alikanyagwa
Kwanza hawa portugal hawafiki mbali
Yani amezidishaa kama hakuna magoli mazuri kuliko hilo tena la penalty jamaniYn kumsifia hd inaboaa kha
Kikubwa points, nyinyi endeleeni kupaki bus.Hata haijanoga
Yn huyo ronaldo kajirushaaa wkt kapushiwa kdg tu. Refa nae boya hajaenda angalia var.Penalty ya mchongo Ureno kabebwa
Pole ila muda bado [emoji26][emoji174][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kama Gareth Bale siku ya Wales na USA.Au Lewandoski siku ile.Mbona kama kajiangusha😣
Umeonae kama sio mwafrika bwanaHuyu mtangazaji w TBC ana mahaba mazito na CR7 lol mpk ameboa sio kwa sifa hizo
Hao mashabiki wa messi madam achana naoHaya sasa
Bado mnawasubiri Ghana wawavushe?[emoji1787][emoji1787]