Mafaller Hawa wameingianna mentality ya kutafta sare[emoji3525]Ghana wanaonekana kuwa na mipango
Alikanyagwa wapi dada yangu!Acheni chuki
Ronaldo alikanyagwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Hakuna wa kutuvusha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kajua penalty ya mchongoSijaelewa kwann kocha fernando had a disappointing look cr7 alivoscore ile penalty[emoji848]
Sio kweli. Ni ubebwaji tu.Acheni chuki
Ronaldo alikanyagwa
Acheni chuki
Ronaldo alikanyagwa