Hahaha umeamsha watoto bureNimepiga kelele watoto wameshtuka wakaanza kuliaa....na hii ndo raha ya mpira sasa
Watu weupe ni wabaguzi sanaRefa anajua kabisa kuwa sio penati
amekomaa kuwabeba Ureno
hata wachezaji wa Ghana wanamuomba refa
aende ajilidhishe kwenye VAR ila amekataa!
Aisee
Rudi bandaniNyote mlioniita mbwa nyie ndio mbwaaa....πππ
Narudi zangu siti ya nje kabisa