😂😂😂 Umenikumbusha mbali Malampaka uko Shinyanga enzi hizo watu wanaita nje refaaa maliza mpira tunakaaa mbaliRefa maliza mpira jaman tunakaa Mbali tutakabwa umeme hakuna [emoji41][emoji41][emoji41]
SanaRonaldo ana hasiraaa
Hii inaweza ikalala Draw hii, Portugal wakilegeza tuWanachezea dk hawap
Niko hapa bibie😂Goose nakutafutaaaa
Kumbe unamuonaRonaldo ana hasiraaa
Yaani anawaaga kwa mahaba kabisa😏Wanapenda kupigana vibao vya makalio hawa, wazungu sio binadamu [emoji2]
We si yule Mbwa aliekaa paleNiko hapa bibie😂
...uafrika upoje kwani?Ila ghana mpira upo jamani , ni ule uafrika tu unatugarimu yaani
Mimi sio mbwa tena maana tumewapiga mapacha watatuWe si yule Mbwa aliekaa pale