Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Uafrika kwa wenzetu ni ushenzi...uafrika upoje kwani?
Ulisema Ghana akirudisha goli tukuite Umbwa umekaa paleMimi sio mbwa tena maana tumewapiga mapacha watatu
Sana sana , wapewe pongezi tu kwa kweliIla Hawa Ghana wapo vizuri kuliko timu zingine zote za Africa
Kocha ni zaid ya ms...Kocha kafanya sub za kiseng sana