Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Well said
 
Mimi nafurahia kila hizi team zenye kupigania mashoga kutupisha tu bado Germany afungwe na Spain waondoke zao na England watakutana na dawa yao kwa sasa tuwaache na kelele zao kwa muda.
Na upinde leo ulionekana uwanjani kabla ya mechi unalizungumziaje hili?
 
Tatizo la Tina na Many wamefungwa na vibonde ambao ndio walitakiwa wapatie point humo
Hawa wengine wanaweza wakaambulia droo tu
Mfano Many atapata point kwa Costa Rica kwa Spain akikaza sana droo
Tina kwa poland na Mexico wana kazi
 
Na upinde leo ulionekana uwanjani kabla ya mechi unalizungumziaje hili?
Upinde ndio nini? mimi wala sikuangalia game sababu siangalii game zote na sina muda kuangalia game kama Wales hakuna quality natizama matokeo tu basi
 
Uzuri soccer mambo yote hadharani. Nani alitarajia France wangeshinda 2018 ? Ila ikute Saud Arabia wakashinda world cup 2022.Who knows ????
Hiyo ni Forbiden Win!!
Yaani washindwe Brazil A na washindwe Brazil B
Wasindwe Argentina, Germany, France, Spain, England, Netherlands, Portugal ndio hao washinde. Itakuwa ni matusi kwa soka duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…