Huyo naskia ana asili ya utanzaniaAFiF kapaaisha huyo. Mtoto wa Hassan Afif.
Hawa lazima wachapikeMamaeeee... Kipa kauchomoa...
Inabidi ampige za kutoshaSenegal asiposhinda na hapa atakuwa kazingua sana
Hili Kapteni la Qatar linafaa kucheza movie kama kubwa la maadui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtatoboa?Wajerumani tujuane mapema sana, mwaka wetu huu
Mimi sina team yoyote hapa Africa.
Nan alimuona yule player wa iran aliemkaba kocha kwa furaha[emoji1787]
Yule mmtu mke wake kazi anayo inaelekea akiwa anapiga baoo anamkaba shingo mkewe 🤣🤣🤣🤣🤣Nan alimuona yule player wa iran aliemkaba kocha kwa furaha[emoji1787]
2004Kuna mwaka Greece(ugiriki) alikua bingwa wa euro, alimfunga ureno fainali na hamna alodhania km wataweza. Mpira ni mchezo wa wazi na una maajabu yake. Hua naamini lolote linaweza kutokea.
Sura yake kama mla nyama za watu [emoji16]
Hii sura akiwa gaidi kukata kichwa mtu kwake ni rahisi [emoji16]
Kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yule mmtu mke wake kazi anayo inaelekea akiwa anapiga baoo anamkaba shingo mkewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa Mama