Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Hawa Senegal nilikua nawaombea mema wapite lkn hpn la mpr huu, hata akishinda hii game kwa Ecuador hawez kutoka wanarud nymbn hawa,mpr wao haushawishi hata kdg lbd wabadilike wacheze kwa kasi zaid.Yani naona pira papatu papatu hapa wamekutana pipa na mfuniko
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hutk kua mnafiki sio,ww na team za Africa mbl mblOhooo, namna gani pale tunafanya makosa sisi Qatar?
Ngoja tuone kama atalinda haka kagoli na kama ataweza kuongeza kengineSenegal asiposhinda na hapa atakuwa kazingua sana
TFF wanaibeba SenegalOhooo, namna gani pale tunafanya makosa sisi Qatar?
Shangilia ila usiniguse
Sina kabisa unafiki mkuu[emoji1].[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hutk kua mnafiki sio,ww na team za Africa mbl mbl