Kushikilia bomba hapa na Mbeya sio kazi ndogoNgoja tuone kama atalinda haka kagoli na kama ataweza kuongeza kengine
SanaaaaPengo la Manè lipo wazi....
Hawana mpira kabisa, team yenye afadhali ni Ghana tu.Sema Senegal hawafiki mbali
[emoji23][emoji23]Aya bana.Sina kabisa unafiki mkuu[emoji1].
Hawa watangazaji TBC wamewatoa wap mbona hawana lafudhi za kibongo
Na kiswahili kama wakenya na kiarabu kingi
Sent from my TECNO CE7j using JamiiForums mobile app
Tutembee na ghana watatufikisha nchi ya ahadiHawana mpira kabisa, team yenye afadhali ni Ghana tu.
Wanafunga kwa shida sanaHawana mpira kabisa, team yenye afadhali ni Ghana tu.
Hawezi kumfunga, labda akapaki bus kutafuta draw.[emoji23][emoji23]Aya bana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa watangazaji TBC wamewatoa wap mbona hawana lafudhi za kibongo
Na kiswahili kama wakenya na kiarabu kingi
Sent from my TECNO CE7j using JamiiForums mobile app
Hata hili kisingekuwa goli bila uzembe wa yule beki kuukosa mpira, kama mcheza rede.Wanafunga kwa shida sana
Kametepeta kabisaHakana nguvu urojo mwingi