Trick mirik
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 555
- 1,290
Imekuaje mnashangalia tena jmn,si tumekubaliana tuwaombee ekwado njaa,woooiii
Next match niko zangu Senegal, Uzalendo kwanza 😁Misses the next match against Senegal
Upo na Mexico aiseeBado tuna mechi mbili,
Mi naenda na shots on target kwa weaker teamsDahh mm mechi za kombe la dunia naziogopa kinyama sijabet hata mechi moja
Sanaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]alihemkwa vibaga dah,sa kibabu cha watu kama kina presha si kingeshazimia jmnView attachment 2427445
Daah, huyu mwamba wa Iran aliniacha hoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oooh kumbeKm wewe una sapot timu za usekweni africa
Mwombe ekuadoo ashinde ili afuzu leo ili mechi yao ya mwisho dhidi ya simba wa Terenga wasikaze kwasababu watakuwa tayari wamefika
Km unavyojua wadutch tunaliza na kibonde katar
Watoke tu maana hawajielewiSenegal bye bye. Sioni ni jinsi gani wataifunga Ecuador.
Usijfariji Senegal kabla ya michuano kuanza alishakua ametoka Ecuador na Holland sio level zake kabisaKama senegal wameruhusu goli mpaka kwa qatar sijui wanatokaje kwa equador
Mawazo yako yalikuwa kama ya mashabiki wa ArgentinaMwifwa bado unaamini Senegal atatoboa kwa hawa?
Dstv now inatambua device moja tu. Ya pili inagomaKuna mtu eti kashindwa kuunganisha
Nilimpa kadi no, nikaja tumiwa code, nikampa zile code lkn imemgomea