Mbona mnalikatia tamaa chama langu la Senegal.. tutawashangaza tu!Wanaofuzu hili kundi ndio hawa wanaocheza leo pamoja. Senegal arudi tu Afrika tuje kusaidiana kujenga bara.
[emoji23][emoji23][emoji23] Iran wabaya sana us kashachezea kwa Iran tena huko huko kwao US 94 hyoWauza drones sijawahi waaminia kabisa, wanacheza mpira wakiwa na sles kichwani
Nimekaa paleeeeAtafuzu kimaskhara
Dstv now inatambua device moja tu. Ya pili inagoma
Awapi, bado Senegal ana nafasi.Wanaofuzu hili kundi ndio hawa wanaocheza leo pamoja. Senegal arudi tu Afrika tuje kusaidiana kujenga bara.
Valencia kaumia. Ecuador loss
Mpira haupo hivyo. Pamoja na Germany na Argentina kupigwa na so called underdogs bado unasema hivyo?senegal akatafute kazi nyingine ya kufanya awezi kumfunga uyu ecuador ata iweje
Ndugu yangu kweli atauweza ule mziki wa wapanda milima wa Ecuador? Wale ni watu na nusu.Mbona mnalikatia tamaa chama langu la Senegal.. tutawashangaza tu!
Ili muone ke.nd . E za wenzenu 🤭🙆♀️Mechi inayofata ya saa 4 hata wakiingia uchi Sawa tu wazee wa Rainbow hao
Awapi, bado Senegal ana nafasi.
Atapita hata kwa idadi ya magoli
[emoji28][emoji28] umeona mbali sanaSenegal wamefanya yao. Wameshamloga Valencia.
Ili afuzu lazima amfunge ecuadrAwapi, bado Senegal ana nafasi.
Atapita hata kwa idadi ya magoli
[emoji23][emoji23][emoji23] nataka nilione la maguireIli muone ke.nd . E za wenzenu [emoji2960][emoji2296]
Tutawapiga mkuu... Ngoja tuoneNdugu yangu kweli atauweza ule mziki wa wapanda milima wa Ecuador? Wale ni watu na nusu.
Sasa kumbe rekodi ya mwisho ni 94[emoji23][emoji23][emoji23] Iran wabaya sana us kashachezea kwa Iran tena huko huko kwao US 94 hyo
Sema angekuwepo Keita Balde na Mane pale mbele aah Ecuador angekaa na hata siku ile Uholanzi angefungwa.Tutawapiga mkuu... Ngoja tuone