Dk na mda uliopotezwa haviendani kabisaHivi Kwanini Kombe La Dunia Tangu lianze Last week Dakika Za Nyongeza Zinakuwa Nyingi sana Wastani wa Dakika 14 za Nyongeza kwa KilaMechi?
Ni utaratibu mpya wa FIFA
Kbs mkuu Yan ulikua mpr hauchezwi dkk 90 unachezwa 80 tu mda mwng mtu anajigaragaza kama mwehu.Hii safi sana. Wacha boli litembee hatutaki watu wanajigaragaza tafikiria wapo hospital
Juzi ilikuwa bahati tuuSaud leo vipi ?
Tupo hapa tunafurah sana had ss mambo yako vzr.Team polland tujueane
Tulia bado hatujatoa halftime tactical talk...tukirudi poland watatoa hanjam mbichiSaud leo vipi ?
Mkuu kuna Match juzi jamaa alikuwa analazimishwa kutoka na Refa..matokeo yake wakaja kuongezewa Dakika 13.😀😀😀😀😀Dk na mda uliopotezwa haviendani kabisa
Mtu anafungwa bandeji dk 3 zinaongezwa dk 12 [emoji23][emoji23]
Leo tumeamka vizuri japo najiskia malaria ya hajaTupo hapa tunafurah sana had ss mambo yako vzr.
Pole sana ase.Leo tumeamka vizuri japo najiskia malaria ya haja
Ila wanacheza vizuri, tusubiri second half.Juzi ilikuwa bahati tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kuna Match juzi jamaa alikuwa analazimishwa kutoka na Refa..matokeo yake wakaja kuongezewa Dakika 13.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
AsantePole sana ase.
Huyo mmoja tuSema Saudi wachezaji muhimu sana wameumia.
Refa wa Portugal aisee alijua kutuweza😀😀Huyu Refa wa leo alitakiwa achezeshe Portugal vs Ghana.