Kwamba na leo kina ski watashindwa.Tulia bado hatujatoa halftime tactical talk...tukirudi poland watatoa hanjam mbichi
Messinaliwekwa kwa mfuko...jamaa wapi vizurihawa taifa stars wananjweka bao nyingi tuu.Juzi ilikuwa bahati tuu
Alikataa kutumia VAR.Refa wa Portugal aisee alijua kutuweza😀😀
Hawa poland wenyewe weupe tuu kama tunisia🤣🤣🤣🤣🤣Kwamba na leo kina ski watashindwa.
Mhuni sana yuleAlikataa kutumia VAR.
Sijawahi kuwa na imani naoMessinaliwekwa kwa mfuko...jamaa wapi vizurihawa taifa stars wananjweka bao nyingi tuu.
Wazee wa "where is messi" wanasubiria kupata zari la comeback kama walivyofanya kwa ArgentinaSaud leo vipi ?
Mkuu world cup hii kuna 'strict time management'Dk na mda uliopotezwa haviendani kabisa
Mtu anafungwa bandeji dk 3 zinaongezwa dk 12 [emoji23][emoji23]
Asante Zelenski
Wazee wa Ninga * rolls royceWazee wa "where is messi" wanasubiria kupata zari la comeback kama walivyofanya kwa Argentina
Service ya mara kwa mara hakuna lzm umuone team ya Taifa ana struggle sana.Huyu lewandoski mbona haeleweki anacho cheza?
Mtu kbs huyo.. Yan wakaze tu poland ili kundi libak wazi had mwsh.Mtoto wa napoli
Messinaliwekwa kwa mfuko...jamaa wapi vizurihawa taifa stars wananjweka bao nyingi tuu.
Hivi Kwanini Kombe La Dunia Tangu lianze Last week Dakika Za Nyongeza Zinakuwa Nyingi sana Wastani wa Dakika 14 za Nyongeza kwa KilaMechi?
Ni utaratibu mpya wa FIFA
Ndio ndo maagizo ya marefa waliopewa na kiongozi wao CollinaHivi Kwanini Kombe La Dunia Tangu lianze Last week Dakika Za Nyongeza Zinakuwa Nyingi sana Wastani wa Dakika 14 za Nyongeza kwa KilaMechi?
Ni utaratibu mpya wa FIFA
Na penati kumbe walipata?Penati waliokosa waarabu!
View attachment 2428119
Ya wazi kabisa mkuu. Kwann amtegue mwenzake mguu
Tulia hwa wanatinga round of 16Sijawahi kuwa na imani nao
Aibu sanaWazee wa "where is messi" wanasubiria kupata zari la comeback kama walivyofanya kwa Argentina