Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Haya ma Denmark (danmak km wenyewe wanavyotamka) yanawajeruhi sana wafaransa
Hata km ni kukaba wao wamezidiii
Ipo wapiHawa jamaa pic yao imeniletea hisia sana
Ila pia nao wako vizur kuwacontain france mpaka muda huuDenamark hawaamini kilichowakuta leo
HaikeshiNgoma ya mtoto
Wales wamekula umeme janaHivi kuna Kadi nyekundu zilizotoka tangu kombe lianze?
Kipa wa walesHivi kuna Kadi nyekundu zilizotoka tangu kombe lianze?
Jana golikipa wa Wales alilimwa iyo kadi kea kucheza rafu dhidi ya mshambuliz wa Iran.Hivi kuna Kadi nyekundu zilizotoka tangu kombe lianze?
HATA AKITANGULIA GOLI 10 HUWA HACHUKUI UFUNGAJI BORA[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Msijifanye mpo bize sana.. Mayele goli 2 mbeya city 0 mpira unaendelea
Dah sawa bhana ahsante kwa taarifa.Msijifanye mpo bize sana.. Mayele goli 2 mbeya city 0 mpira unaendelea
HutoboiiiiiiiiiiiMbappe Leo anakabwaaaa hadi sio poa
Ila najua wafaransa wajanja sana wana ka style kao ka uchezaji kulingana na hali halisii
..lazima watapata mbinu ya kutoboa tuu
Kwamba yule aliepo pale uwanjani ni twin wake auMbappe leo hajacheza nini?
Au ni majeruhi?
Eeh Kibu Denis ndio huwa anachukuaHATA AKITANGULIA GOLI 10 HUWA HACHUKUI UFUNGAJI BORA[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
NIPO ZANGU AL HILAL HAPA [emoji41][emoji41]
DuhWales wamekula umeme jana
Hivi kipa akipata Kadi nyekundu nani anakuwa kipa?