Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hivi nyie mnaolalamikaga umeme kukatika mnaishi wapi,nnapoishi kusema kweli sjawah ona umeme ukikatika na sipataji mana watu wasije nisagia kunguni TANESCO wakashtukia zali[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Laini nyingi zinzazoenda nyumba za viongozi wa serikali umeme haukatiki

Hivi nyie mnaolalamikaga umeme kukatika mnaishi wapi,nnapoishi kusema kweli sjawah ona umeme ukikatika na sipataji mana watu wasije nisagia kunguni TANESCO wakashtukia zali[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…