Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Ila Griezman Fundi
Unaongelea lini? Brazil kabeba hili kombe mara 5, kwahiyo huku kote alikuwa na makundi mepesiKwanini brazil huwa anapangwa kundi japesi!!!
France kundi gumu
Argentina kundi gumu
Germany kundi gumu
Spain kundi gumu
Belgium kundi gumu
Ila brazil mara nyingi anapangwa kundi jepesi 😁😁
Waaapi wewe hii Denmark amekaa, Mbaappe kakosa goli la waziMi naombea France atoe draw
Ngoja tuoneNgoma itaisha 2-1
Kuwa serious basi kundi la Brazil na Argentina lipi gumuKwanini brazil huwa anapangwa kundi japesi!!!
France kundi gumu
Argentina kundi gumu
Germany kundi gumu
Spain kundi gumu
Belgium kundi gumu
Ila brazil mara nyingi anapangwa kundi jepesi [emoji16][emoji16]
Pale angeenda nao tu ila kitete sijui,Mbappe ubinafsi
Haifikii gem yetu na USA janaBonge moja la gemu
Sikucheki gemu ya jana TANESCO walifanya yaoHaifikii gem yetu na USA jana
MbwaaaaNikiacha muiite Mbwa