vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Yule mtz wa denmark kala ubao nn au hajaitwa kabisa
DrooLeo Messi anakamua mtu maziwa
Yes babeMpappe my love
Ole wao Argentina wanichanie mkeka wangu km walivyofanya kwa Saudia, ntawalaani wasirudi tena WCI keep my fingers crossed for Argentina (Messi to be particular )
🙏🙏🙏🙏🙏🤞🤞🤞🤞🤞🤞🤞🤞
Mwaka huu mtaona ubishoo wao ni vile wanajipenda tuu ila miguuni ni wagumu wanakimbiza mpira hatariNa wale mabitozi wako wale..
Dhidi ya nani hao kina Queen of south?.TEAM MEXICO WAUZA UNGA [emoji106]
Mkuu ile game ilitakiwa iende 120dkk wakishindwana wapige matuta,atoke mtu ile game ni hadhi ya robo.Sikucheki gemu ya jana TANESCO walifanya yao
WahuniTEAM MEXICO WAUZA UNGA [emoji106]
@Depal wadau wamekuona DSTV aisha[emoji16]Huyu manzi wa DSTV mzuri kinoma.
ArgentinaDhidi ya nani hao kina Queen of south?.
zeeHuyu manzi wa DSTV mzuri kinoma.
Argentina anatoa Draw leo,kocha wao namuonea huruma[emoji38][emoji38][emoji38]