Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Jana matokeo ya Argentina na Mexico yalikua ajee?
Kwani alikuwa anavuka, Ujerumani alimuotea na katika haya mashindano huwezi kumuotea kila mtu. Hili group ni Spain na Ujerumani. Leo droo, mechi za mwisho Spain na Ujerumani wanashinda mechi zao
Now Morocco 🇲🇦 na ubelgiji
Iliyoisha ni Japan na Costa Rica 🇨🇷...
Nani alishinda?Iliyoisha ni Japan na Costa Rica [emoji1080]...
Costa 🇨🇷