Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Watapata chance nyingine mkuuHii nafasi waliyopoteze Germany wataijutia
Na wakipata mpira hawatulii.Hawa Spain wana press hatari, hawaruhusu Germany wapate utulivu wakiwa na mpira
Angesababisha goal kizembe Sana huyuKipa wa Spain ana utoto fulani hivi wa kuboa
Correction..refaMhhh huyu kocha mbona kama hafanyi lolote madhambi hayaoni?.