Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Cameroon mechi ya 1 wangepata point 3, wangekuwa kwenye nafasi nzri sna endapo watashinda leo
 
Hili swala la mabeki kubutua mipira mbele hovyohovyo ni mchezo wa kizamani sana, hii ni sawa na wao kuwa sehemu ya team ya Serbia kwasababu wanasaidia Serbia kumiliki mipira kila wanapoipoteza.


Wanajikaba wenyewe, na muda si mrefu watawaka.
Tayari wamefungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…