Francois Omam Biyik..... Aliwafunga Argentina.... World Cup 1990.....Mchizi boti gani tena huyo?
Wengine tulikuwa kwenye viuno vya wazee wetu miaka hiyo.
Nimeamua kuja kuiangalia kwa macho yangu, na ni kweli hatuna dalili ya kupata hata sare achilia mbali ushindi.Kutoboa hii gemu ni ngumu mkuu, Cameroon ameshapoteza tayari
Pumbav sana[emoji1787][emoji3064][emoji3064]Maviiiiiii Cameroun
Ndio hivyo hii gemu hawapiti CameroonNimeamua kuja kuiangalia kwa macho yangu, na ni kweli hatuna dalili ya kupata hata sare achilia mbali ushindi.
Nataka nimalizie kuandika mara tunapigwa la 3
Napigilia msumari, dada yangu.Pumbav sana[emoji1787][emoji3064][emoji3064]
Hawa ndio wabovu kuliko timu zote za Africa zilizoenda
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Walibebwa na Refa Gassama.cameroon sijui wamefuzu vp yani ni bora algeria wangepita tu kuliko awa wapuuzi