Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kasema mdau moja juu apo

Cameroon wanacheza ule mpira majalo

Zamani tukiwaita wasafishaji

Kila mpira unaokuja unaufumua uende mbali na goli lako
Kumbe kufumua mbali ni kuwarahisishia wapinzani kukaba na kuweka mpira chini
Hakika ni upuuz sana.
 
Sipingi.
Alafu Eto'o alitudanganya kua Cameroon watatinga final.
Sijui alitaka tuwadhamini kwa pesa ya mkopo kisha tuende jela!!!

Ngozi ya goti tuna kwama wapi?
Waganga wa nchi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…