Lilivyodunda[emoji16]VAR imezingua hapa
Tunaua huku 3-3Hii mechi jamani. Majanga
Angeanza wangekuwa mbali.Niliwaambia ingiza Abubakar
Baada ya kuwakumbusha wanabeba Bendera ya Afrika naona wanaanza kujirudi...Leo hawa wapuuzi wanaiwakilisha Cameroon sio Africa; naomba hilo lifahamike wazi....