[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Final whistle
Republic of korea 2-3 Ghana
Na uzee huu nilibana manyanga[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakuja kufa mzeeFinal whistle
Republic of korea 2-3 Ghana
Na uzee huu nilibana manyanga[emoji16]
Huu mpira utakuja kututoa roho asee presha niliokuwa nayo utafikiri nimebetMpira umeisha
Nilisema hakuna goli Ghana kabeba point 3Sawa.,ila!
Kuanzia mashabiki wengi,Hatua ya makundi tu mpk sasa lakini Kombe la Dunia la mwaka huu lina msisimko na ushindani mkubwa kuliko la 2014 Brazil na Russia 2018 so far.
πππ Hatari sana mkuu,
Huu mpira utakuja kututoa roho asee presha niliokuwa nayo utafikiri nimebet
Hata kwenye muvi zao wanaigiza kama kweli kwa uchungu wote..Sema Korea wanauchungu sana na nchi yao.