vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Labda akutane tena na Ruvu Shooting.Hizi ndo mechi ambazo Bocco anakupigia hattrick
Huyu refa ni wa uswiz,mana madhamb wanayofanyiwa brasil so poa
Mpira wa kisasa huo...hivyo vipaji na uwezo binafsi ni ziada tu (kama kachumbari tu kwenye pilau ambayo sio lazima)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fred anajificha asipewe pasi [emoji16]
Yaah kumbe upo vzr sanHatariii
Embolo anatufurahisha hapaCongrats Ghana
Umejua kutufurahisha
Kwenye game ya Ghana sijakuoanaHatariii
Ghana tia maji tia maji wale mafaza wakina ayew brothers partey na inaki na sio wa kuanza tena wanacheza kifqza sanaCongrats Ghana
Umejua kutufurahisha
Boko huyuhuyu anaekata kona kama treni la Mwakyembe?Hizi ndo mechi ambazo Bocco anakupigia hattrick