Martyr 360
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 433
- 660
Kabisa ...Yaan pengo la neymar lazma lionekane maana wakati watu wanapamba kumkaba neymar wengine wanajinafasi
Hii mechi ilifaa aanze Gabriel Jesus.Hivi kwa nini Rodryigo huwa haanzi ?
Si tulikubaliana walifurahi kaumiaMashabiki wa Brazil mkapige goti Kwa Neymar
Huwa wanamlaumu sana eti anabaki sana na mpira.Mashabiki wa Brazil mkapige goti Kwa Neymar
Watafunga tu.Brazil ni timu ya kawaida sana
Carrasco putin unaona?
Bado ni timu ya kawaidaWatafunga tu.
VAR tena majanga.Hawa Uswisi wanaupiga mwingi kama vile wao