vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Huyu bibie anaujuwa mpira amenikosha Sana[emoji1] nimemuelewa haswa alfu pia mkongweMimi mpenda football tu.Si kocha. Mimi ni observer.
Yeah yupo vizuri anakichwa very Bright sijawahi muona anaongea pumba kama mimi. NilivyoYuko vizuri kwenye uchambuzi
Huwa namsoma kimya kimya
Na yuko informed na soka...ni shabiki mzuri
MmmmhGoal zuri
Endelea kusonga ugaliGoal tayari?
Goal bro?Mmmmh
Goli ndiyo🤣Goal bro?
Anaungana na mabingwa FIFA 2022 FRANCE.Matokeo yakibaki hivi Brazil ashatinga mtoano
Pamela kipiniMkishinda hili kombe Brazil niiteni Pamela
Mkishinda hili kombe Brazil niiteni Pamela