WaziiiSawa Afande
Depal hivi na ww umefungasha kama Aisha?Tulia na Aisha, Pamela hana taqo
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkishinda hili kombe Brazil niiteni Pamela
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulia na Aisha, Pamela hana taqo
Depal hivi na ww umefungasha kama Aisha
brazil nae?Mpira una matokeo ya ajabu sana.
France adi sasa ndio ana point sita katika makundi yote
Kicheko cha ki NaaHaha
Ya buza uyoMe pia dstv
Na mpira ushaisha
We dstv gani hiyo?
Ndo alivyozaliwaVini Jr apunguze ubishoo
Waniite saint Anne maria[emoji16][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Portugal ndo watakua wanayaaga mashindanoImagine Portugal vs Brasil kwenye mtoano wa kwanza. Yaani Brazil awe number moja hapa halafu Portugal awe number mbili kwenye kundi lao.
JamanKicheko cha ki Naa
Mpira una matokeo ya ajabu sana.
France adi sasa ndio ana point sita katika makundi yote