Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Halafu Brasil yupo njia ya kukutana na Spain.
[emoji16] ngoja nicheke tu juma lokole au tukuite tu AggreyHayaaa Shilolee
Niwekee wali nyama 1 [emoji1787]
Brazil nae ana point 6 tayari.Mpira una matokeo ya ajabu sana.
France adi sasa ndio ana point sita katika makundi yote
Bingwa Spain haliitaji kubishana sanaAsipochukua Argentina kombe basi achukue ufaransa...asipochukua ufaransa basi hata Brazil akichukua poa tu.
Hizo tatu ndo team zangu pendwa
Uruguay nampenda pia ila sio kama hao hapo juu
Ohoo leo kashinda kumbe! Sema uyu Brazil akikutana na Ghana anapigwaHata Brazil
Brasil hatapita kwa Spain .Asipochukua Argentina kombe basi achukue ufaransa...asipochukua ufaransa basi hata Brazil akichukua poa tu.
Hizo tatu ndo team zangu pendwa
Uruguay nampenda pia ila sio kama hao hapo juu
Brazil piaMpira una matokeo ya ajabu sana.
France adi sasa ndio ana point sita katika makundi yote
Duh! Nina binti mmepishana kidogo tu umriJaman
U sound kama katoto hivi
Watakutanaje mkuu ?Ohoo leo kashinda kumbe! Sema uyu Brazil akikutana na Ghana anapigwa
Spain na brazil hawafiki semifinalBrasil hatapita kwa Spain .
Waambie wewe mm nikisema wananidharauBrasil hatapita kwa Spain .
Endapo Ghana akifuzu wanaweza kutana..au inakuaje mkuuWatakutanaje mkuu ?
Hawezi mfunga BrazilHivi Cameroon game ya mwisho akishinda ana fuzu?!
Brazil atacheza kifaza maana keshajihakikishia.Hawezi mfunga Brazil
MhhDuh! Nina binti mmepishana kidogo tu umri
basi mto mhimNiko kama Pamela tu asee