Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
Wamewaonea tu na hyo var yaoWas clear goal....no offside
Hahahahahaha...sema VAR huwa siipendi
Me naipendaga kama team hainihusu π€£Hahahahahaha...sema VAR huwa siipendi
Figisu aisee.Sababu za kukataliwa hili goli mbona hazieleweki
Zile tuhuma zinaweza zikwa na ukweli
Unaangalia TBC?Oya wakuu au ni katv langu?? Mbona motion ya wachezaji na mpira siuelewi
Hapo kwelii...sema inaharib7 sokaMe naipendaga kama team hainihusu π€£
KabisaZile tuhuma zinaweza zikwa na ukweli
πππ nimejaribu kuangalia na simu nimekuta kiswahilii, nimeachaa.. siwezi chezea mb hivyoJman msaada kubadili luga