Spain ana balaa sana
Uruguay umeipendea nn maana sioniko kituNishaziweka hapo
Me Messi alipo nipo
Then France
Brazil
Uruguay
Spain simchukii ila simpendi
Wasipochukua niite Nakadori[emoji16]
Asa Mexico Ina nini?
Ureno leo anapigwa na Uruguay
Basi tu ndo maana nikaiweka mwisho hukoUruguay umeipendea nn maana sioniko kitu
Acha darling kabisa yaani nnamis balaaa nadhani kuanzia next week ntakua hai kabisa hapaI missed u here
Karibu
HahahahWasipochukua niite Nakadori[emoji16]
Basi leo nipo ureno ili nikuzomee tuBasi tu ndo maana nikaiweka mwisho huko
Najua wanabeba Spain mpira mwingi mno unapigwa jana hukuuona?Hahahah
We utaitwa naka kweli shauri yako
Brazil Kama azam raha tupu [emoji16]Hongera Brazil endeleeni kutupa rahaa
Maana kuwatazama tuu ni raha mkifunga raha zaidi.
DuuuhWalishinda lkn Moto waliopelekewa siyo wa kitoto walijuta kushiriki[emoji1][emoji1]
Unakosa utamu hapa ujueeAcha darling kabisa yaani nnamis balaaa nadhani kuanzia next week ntakua hai kabisa hapa
Nizomee tu hakuna namnaBasi leo nipo ureno ili nikuzomee tu
Soon narudi dear naona Raha...nawaonea donge mnooo!!!Unakosa utamu hapa ujuee
Maliza urudii