BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Unaambiwa Dejan hajafika Serbia na huku hayupo. Sijui mwamba anapiga mishe wapiHV dejan yule wa Simba hajaitwa kwenye hiki kikosi [emoji23]
Mimi nilianza kumshangaa akipata sub ,anakasirika anatoka kabisa nje ya uwanja kwenda nyumbani kabla mechi kuisha.Me pia simuelewag kiukweli
We una issue binafsi na Etoo?Chuki binafsi tu .Etoo ndo anaendesha hiyo team.
RelaxHaters wa Ronaldo kunyweni panado. Maneno meeengiii kama chiriku mnaboa. Angalieni mpira chuki zenu hazimpunguzii mbio
Relax
Huu ni mpira tu
Mpira ni starehe
Easy
tulia mtoto mzuri CR7 atafunga soonAm relaxed ndo maana Sijaquote mtu kumtolea povu. mnaharibu uzi kwa chuki zenu binafsi
Huyu sister sijui ana tatizo gani na Etoo maana sioni kosa la Etoo kwenye hii issue. Mtu kamkosea nidhamu kocha wake na iko confirmed halafu aadhibiwe iwe nongwa. Kwanza aliefanya maamuzi ni kocha wake ila huyu maza ye kamkomalia EtooWakati mwingine ni vizuri kuweka akiba ya maneno.Baada ya dakika 90 huyo Onana bado anamcheka Etoo?
tulia mtoto mzuri CR7 atafunga soon
We maza vp! Mbona game ya kwanza walifungwa na Onana alikuwepo?Yes anamcheka. Angekuwepo langoni asingefungwa. Kuongea lazima,this is football kwa hali ilivyokuwa kwa muda ule Cameroun wangefungwa mengi mno.
Yani anakera sanaRonaldo bwana ,anajua hajafunga ila kushangilia as if kafunga .Hapo lengo lake kaifikia record ya Eusebio magoal 9.
100%Yupo benchi now. Atafunga mechi ijayo
Hahah mbona umemkomalia Dr. VictoriaWe maza vp! Mbona game ya kwanza walifungwa na Onana alikuwepo?