Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Penalty ya mchongo.Huu mpira nimekubali unipite and I'm okay with that
Nacheki live blog hapa kumbe watasha na leo walipata zari la penati tena?
Ana maindigiBora katoka ,halafu aangilie simu akute goal si yeye .
Chujio ya VAR ime approve?Penalty ya mchongo.
Man U inawakilishwa na nani?
Hivi nyie hamsinziagi?
Kwa hapo ni sahihiBruno Fernandes ni mchezaji wa soka wa Kireno ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Manchester United iliyopo nchini Uingereza na pia timu ya taifa ya Ureno
Kwa hapo ni sahihi
Mwanzo humu wengi nimeona mnamtaja Ronaldo nikadhani na hoja yako ilikuwa inamlenga yeye
Yaaan ndio nashtuka sahivi ..Wa kishuaaaa ndo unaibuka saiv. MU FC imeshindaπππππ
Weweee huyo tena na AIR siharaseveniiAaah humu wengi tunafahamu vikosi vizima vya timu zetu pendwa epl na habari zao za mikataba. Na pia wengi wanashabikia mchezaji mmoja moja yeye kama yeye kisha timu inafuatia
Yaaan ndio nashtuka sahivi ..
Mwanitesa United naona mko na furaha utadhani mko EPL π€£π€£
Dada tuliaaaaa, hii ni World Cup
Casemiro leoMan u inawakilishwa vyeeemaaaaa
NakwambiajeeπππππππππNasubiria damu ya Red devil ibebe kombe halafu hicho kikosi asiwemo mchezaji hata mmmoooojaaa wa chelbahari
Yeye anakupenda?Ndo maana simpendagi
Nyie mashabiki wa Brazil subirini Allison wetu alinde lango mshinde.Nakwambiajee
Ndoo itabebwa na kikosi chenye mchezaji wa Chelsea na Arsenal.. [emoji1787][emoji1787]
Hao madogo wanaa athitiwa na uwepo wa Ronaldo kwenye timu yao. Yan kocha anajikuta tu anamuanzisha Ronaldo lakini kuna watu more powerful zaidi yake kama huyo LeaoImepoa sana kulinganisha na zilizopita
Alaf leao sijui kwann hajaanza