Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Baby wangu gaucho ndo alikuwa akinivutia uwanjani dah nii passwords niliipendaga sana uwanjani enzi zake.nilikuwa nagatilia mechi zote kisa tu nimuone bae wangu.

Wapi bae mpya Ozil ,manina njerumani yule ana macho mazuri dah.ila sijasema namuwazia mabaya.

Na wengine na wengine, kombe hili lazima nipate mwengine atakae nifanya niwe nawahi kutoka kazini.

All the best all the babe's out there

Fifa World cup 2022 goes to.........
 
Nimechungulia tbc 1 walahi Mungu anawaonaa🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 wanapiga ndoige
Ni wanaonyesha kama hawaonyeshi

Ila wenyewe wanakwambia iko clear 🙌
 
Reactions: Lee
Ecuador wamenyimwa goli halali, hakuna offside, mchezaji wa Qatar alikuwa karibu kabisa na mstari golini
Yani nyie mnadhani FIFA wajinga,mwenyeji kaandaa mashindano alafu aanze kufungwa dk ya pili?acheni masihara 🤣,zaidi ya usd bil 200 zimetumika hapo mjue.

Football business haipo hivo kuweni waelewa 🤣🤣🤣

Football is all about money,hapo hakuna cha usimba na uyanga wenu ni business 💰💰

Kelele zenu pelekeni vijiwe vya kahawa huko 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…