Ngoja nifuatilie tu live updates za maandiko mkuu humu JF na telegramTatizo la monopoly ndio hilo
Skiza TBC taifa upate uhondo mkuu
Yeah, ni utulivu tu kwenye eneo la mwishoTimu yao siyo nzuri ya kutisha. Hata goli tatu Senegal wakitulia watawapiga.
Hawa jamaaa wangese sana walikuwa natafuta draw kwa kutulia....mie nilitegemea bonge la mechi wao wanacheza kama wana mwiko matakoni
Hahahaaa, mimi moyo ulikuwa unaenda mbio tu, makangale yalikuwa yanajipumulia kivyake[emoji3][emoji3]Miguu
Pamoka mkuu, tupeane updates hapaPole sana mkuu.
😂😂😂😂Hahahaaa, mimi moyo ulikuwa unaenda mbio tu, makangale yalikuwa yanajipumulia kivyake[emoji3][emoji3]
Sasa hapa hawa wame manage game vipi. Bro kupata draw inabidi nawe upambane. Wana mpira wanacheza just to feet, ona wenzao senegal runs in behind, overloads by fullbacks. Hawa ekwado yule fullback wao manywele kwanza kule saar kashamzidi. Huku upande wa estupian anapigwa mande na huyu shombesshombe na sabaly.Haya ni mashindano sio ligi mkuu
Ili utoke hatua moja kwenda nyingine inahitaji nidhamu ya hali ya juu ya game manegemant
[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yaani na hivi ndio nime log in hii ni comment ya tatu inanichekesha[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Naona umeifuma komenti yangu[emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125]
1injinia soma hioo ngapi ngapi
Ila Game Si Zinaendelea Mkuu
Wee unaamgalia mechi tofauti na sie wengine🤣🤣🤣🤣🤣Tactical ecuador wamefanikiwa hii game mzabzab
Senegal wamekimbia Km nyingi ila wameshindwa kufunga kwenye open play
Wee unaamgalia mechi tofauti na sie wengine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wee huoni hapansecond half wao wanatawala na kocha kaona yale niliyoyaongea. Kamtoa yule striker alafu kamsogeza yule captain wao juu huku oembeni kaweka wingaer ambaye ataweza mzuia sibally. Hapa sasa watapata goli.
Sii unaona sasa fullbacks zinapanda