Ebwana hatari hapa ssenagal wamerudiBad lucky again [emoji24]
Aaah wap mzee goal iloOffside
[emoji91][emoji91][emoji1]Koulibal atalipa hii[emoji16]
Ya NyokoOffside
Nilibet ekwado watapata goli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mzeee Baba, Mbona Kama Unashangilia [emoji3]
Kwan senegal wamempa nn mungu maana ni wa kila mtuTuwaombee sheikh wangu
Wacheze kwa kutulia na wasibutue wamiliki mpr.Dahh.. Godd..
Senegal acheni ujingaa
For me naona walinde sana goli...maana ecuador akirudisha tutalia....hatutakua na chance tenaKwa kweli, wajitahidi waongeze goli lingine.