Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ukiangalia hii game utagundua makocha wengi wa timu za Afrika ni chenga tupu. Kwa game kama hii sikuona sababu kupaki basi, yaani mpaka wafungwe ndio wanatoka golini kwenye kushambulia.
Nafasi za wazi nyingii
 
They would rather go for a coach that has watched Brazilian team play live....
They'll be like if he has watched Brazil play in the Maracana then,under his experience watch,we can win the nations cup...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Namna Afrika tunavochagua makocha
 
Ukiangalia hii game utagundua makocha wengi wa timu za Afrika ni chenga tupu. Kwa game kama hii sikuona sababu kupaki basi, yaani mpaka wafungwe ndio wanatoka golini kwenye kushambulia.
Wafunguke Kama Canada [emoji260] Juzi, Mpira Wa Mitandao Bwana [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…